Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weeeeee!!nuache kabisa
Maombezi gani hayo ya saa4 usiku?
Kwanza Cole hawezi kubali na hata akikubali siwezi kuja[emoji23][emoji23][emoji23]
Maombezi sa4 usiku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaa, nyinyi ndio mlikuwa mnaruka ukuta? Mnapanda watu kama ishirini hivi, mkishakaa juu ya ukuta mnahesabu moja mpaka tatu halafu wote mnarukia ndani ya uwanja kwa pamoja! Humo ndani sasa, kila mtu anakimbia kivyake! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiambiwa ni muhenga utasema umesoma vitabuni!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Andaeitini wa zama za nyuma
 
Huu mualiko huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…