Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Majongoo mkuu asikukwambie mtu safi sanaCarba anasema amekulia pwani ila hajawahi kula
Amuombee na ISISMaombezi ya usiku ndio mazuri
Am gudiii shemejiHey shemeji uko powa.
Karibu bro. Naona umekuja kivingine. Huu uzi huu nyie acheni tu !!!Goli la pili la MBAO FC..
Linaongeza nguvu za kiume,
Linaondoa mapunye,
linamuita alie mbali,
linaondoa mkosi,
linaongeza bahati,
linarudisha wapenzi walioachana,
Lina-balance homoni,
Lina-solve equation,
Linaondoa harara,
Linaongeza vitamin,
Linakulipia riba kwenye vikoba/saccos
Linaondoa stress,
Linapunguza mafuta mwilini,
Lina kurushia kifurushi kama simu yako inadaiwa,
Linaondoa fujo mitandaoni,
Pia linaondoa kilomolomo mitaani[emoji12]
Wacha utani weweKaniki siyo nyeusi
you wish[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I'm humbled, only If this is for me! Thx! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Ongeza kasi kijana[emoji23][emoji23]
Brooooooooo !!!Mwanamke wa shoka Carbamazepine
Unaetabasamu Mara nyingi
Unaishi na watu vyema, mchangamfu
Mzuri wa sura na kamsambwanda kadogo dogo nikapendako mimi
Kweli LUCKY ME