anajikuta mgumu kumbe laini tuKakosea nini huyo bishololo Kanye ambaye anajifanya mgumu,
Sasa hivi ni simbilisiSiku zote Brazil huwa Kama zulivyo nchi nyingine, kuna muda huwa Kali sana na kuna wakati inakuwa mdebwedo[emoji3] [emoji3]
Inawezekana kabisaUgali wa muhogo kwa perege
Yule Gaucho sio Mtu mzuri hata kidogo.hahahaha
waingereza waliisoma namba
Gaucho alikua fundi haswaaYule Gaucho sio Mtu mzuri hata kiogo.
Bila shaka alimtengua mwenzake Nyonga😀.
Sio ya kucheka, lakini!
hahahahaMkuu, Hebu tulia aisee! [emoji23][emoji23][emoji23]
Tume ya uchaguzi na mipaka ya Kenya haiaminiki. Kwanza wamekataa kuwasilisha vielelezo muhimu vya ujumuishaji wa kura mahakamani. Na hiyo ni moja kati ya sababu zilizopelekea mahakama kutengua matokeo. Lakini bado ni watu wale wale wanaotakiwa kusimamia uchaguzi huo. Hii nchi wanakoelekea kuna Giza. Tusubiri tuoneLazima wapewe muda zaidi wasivulunde tena
Siasa (za Afrika) ni pasua kichwa !!!Tume ya uchaguzi na mipaka ya Kenya haiaminiki. Kwanza wamekataa kuwasilisha vielelezo muhimu vya ujumuishaji wa kura mahakamani. Na hiyo ni moja kati ya sababu zilizopelekea mahakama kutengua matokeo. Lakini bado ni watu wale wale wanaotakiwa kusimamia uchaguzi huo. Hii nchi wanakoelekea kuna Giza. Tusubiri tuone