Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hapana. Alikuwa anakaongelea kale kachungaji feki kutoka Nansio Ukerewe. Bila shaka utakuwa umekafahamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh teh teh mzee wa tukuyu anavamia mdogo mdogo, SHIMBA umemuona huyo.
Huu uzi ni hatari
Haya mambo ni magumu aisee....
Andaeitini muhenga...
Ni kontradikisheni ya mumo kwa mumo...
Nakiri tena...
Mi naupenda uzi huu !!!
Kiwangomtu huyu
Huyo atakuwa na shida mahalaYou never know! Inabidi tu uwe muwazi wote wakuelewe! Unaweza kustukia mtu amekununia hapa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha vitisho kijana, kuna mtu anaitwa Bob 12 ameshaiva kiujasusi, akivamia hutamfanya lolote. Bob muone huyu anatisha watuHahaah. Nadhani ingekuwa busara angemuita Mchina aongee nae amueleze yalio mkuta
Ile gari nyekundu ni aina gani[emoji23][emoji23]
Kwa siasa (za Afrika) haki yaweza kugeuka dhuluma and vice versa. Mtu anaiba kura matokeo yakifutwa anaanza kulalamika eti haki haijatendeka !!!Wanapaswa kutenda haki kuepusha mapigano
Bonge nyanya
Naogopa kusema lile neno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saa tisa usiku shemeji. Rudi kitandani. Kesho wagonjwa watakuhitaji sana. Pumzika. Mponyaji !!!Huu uzi ni hatari
Weee!tuanze na wewe kwanzaYes! Lazima nipigishe maombi ya nguvu humu, watu wanaihitaji huduma hii muhimu, nimedhamiria kuwaokoa kondoo ambao nadhani wanaelekea kusiko! [emoji23][emoji23]
Naona unashindana na mista vaisi cheamani wa CHAUMITA
Hii tani ngap[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hisani kwa ya Mwenyekiti wetu wa chama Mheshimiwa sana Mzee wa Tukuyu !!!
Kama vile namuona. Atasema Nissan Patrol...Ile gari nyekundu ni aina gani[emoji23][emoji23]
Cc:mista cheamani
Cc:mzee wa liver vitu vyako hivi