mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu habari za LeoPamoja Kiongozi
Uzi bomba sana
Haya mambo ni magumu aisee....
Andaeitini muhenga...
Ni kontradikisheni ya mumo kwa mumo...
Nakiri tena...
Mi naupenda uzi huu !!!
Mikwara mingi wazichapeNorth Korean leader responds to Trump: ‘I will surely and definitely tame the mentally deranged U.S. dotard with fire’ By David Nakamura and Anne Gearan September 21 at 5:39 PM CT
Haka kamjamaa bana!
Unatafuta ugomvimadrid oyeeeeee
Good morning mkuuvipaji vya nguvu
Hakuna kitu kama hicho hapa utani 100%[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tunafurahi ,tunaelimishana ,You never know! Inabidi tu uwe muwazi wote wakuelewe! Unaweza kustukia mtu amekununia hapa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Bob 12 ni ndugu yangu tena wakaribu sana. Wala hatuna shida sisi Wapare.Acha vitisho kijana, kuna mtu anaitwa Bob 12 ameshaiva kiujasusi, akivamia hutamfanya lolote. Bob muone huyu anatisha watu