Upinzani wa soka simba na yanga au upinzani gani huo?Ushindi wa kihistoria vita dhidi ya upinzani tz
Ugali unakuwa mgumu sana,mlenda unasaidia kuutelezesha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mlenda unisamehe bure tuu kwalweli.... Ntauzoea tuu si unajua tena
Pole mkuuNilifiwa,
Hahahaha nimeipenda hiiGoli la pili la MBAO FC..
Linaongeza nguvu za kiume,
Linaondoa mapunye,
linamuita alie mbali,
linaondoa mkosi,
linaongeza bahati,
linarudisha wapenzi walioachana,
Lina-balance homoni,
Lina-solve equation,
Linaondoa harara,
Linaongeza vitamin,
Linakulipia riba kwenye vikoba/saccos
Linaondoa stress,
Linapunguza mafuta mwilini,
Lina kurushia kifurushi kama simu yako inadaiwa,
Linaondoa fujo mitandaoni,
Pia linaondoa kilomolomo mitaani[emoji12]