myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji134] [emoji134] [emoji134] mwaka? Yego wewe ni muuaji,kuna zizi litabaki salama kweli?Pamoja na wasiwasi ulionao, hebu nipe ka mwaka tu, niweze kukamilisha yanayoendelea kwa wakati huu. Baada ya hapo, nadhani tutakuwa kwenye ukurasa mmoja! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hata hautumii nguvu nyingi...kama usukani wa scania unavyolizungusha lori lote na likontena juuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaanza kuingia taratibu kwa fake pasta[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wee nawe na vimacho vyako!! Eeee hivyo hivyo ulivyoona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umesemaaaa[emoji23][emoji23]
Nyuki wa.....
Unachungulia nini sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mawazo yako yanashabihiana na ukweli"Hebu sogeza ...lako hukoo,ukizingua nakuchoma popote ujue??? Usiniletee za kuleta,inamaaa...litingishe linanihii lako uvunje sindano.Haya,mara ya mwisho ulioga lini?" Nawaza tu...
Nakusalimu shemejiWageni utawajua tu. Unafika mahali hata hujawajua wenyeji sawa sawa ushaanza kutongoza. Unamjuaje Jakitoo mpaka umpende?