Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unanipa compliment lakini hapo hapo unanitwanga na nyundo utosini! Yaani! [emoji23][emoji23]
Nina kipaji cha kugundua smart people hata wajaribu kujificha vipi. You are very smart! Ukiweza kukitawala hicho kichwa kidogo wallahi utafika mbali sana. Ila ukiendelea kukiendekeza hasa kwa wake za watu muda si mrefu tutakuona kwenye TV. Na hapo ndipo kitakuwa kilio na kusaga meno !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…