Pole sana mkuu.... Mwenyewe inanipa shida sana sometimes nafikiria labda wameenda nchi ya mbali huko watarudi lakini miaka inazidi kuyoyoma[emoji22] [emoji55]
Mkuu BAK being an adult is accepting the things that you wish weren't trueInanipa shida sana mie watu wangu wa karibu ambao hawako tena duniani kuwaita marehemu pamoja na kuwa huo ndiyo ukweli halisi. Kwenye akili na moyo wangu hawa bado wataendelea kuishi.