Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha mna hatari nyie. Hizi dawa tamu za kikohozi zimenifanya nisiipende fursana na soda zenye radha yake ila zabibh nakula kama kawa.
 
FAIDA ZA JUISI YA UKWAJU.Tunda la Ukwaju.Tunda la ukwaju ni tunda lenye faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Tunda hili huweza kutumika kutengeneza juisi ambayo matumizi yake yana faida kubwa sana katika afya ya mwili wa mwanadamu.Juisi ya Ukwaju.
 
NAMNA YA KUTENGENEZA JUISI YA UKWAJU.Nunua ukwaju wako, ukwaju unapatikana kwa wingi sana masokoni na kwenye supermarketsandaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni uache uchemke kwa dakika 10/15 ili uuwe
 
vijidudu ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyeweweka sukari kwa kiasi unachopendelea pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki au vanila ili kupata taste weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…