Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na uenyekiti pia alikua anaunyemelea
 
Nyayo inaweza kupata uvamizi wa funza ambao huweza kujihifadhi humo na kuzaliana, husababisha mwasho, kukereketa na maumivu.

Watu wa maeneo ya mashambani yenye panya kwa wingi hukutana na matatizo ya nyayo, kutokana na wanyama hao nyakati za usiku kupendelea kutafuna eneo la nyayoni.

Tatizo la magaga

Magaga au wengine huita sagamba ni hali ya nyayo kuwa na ganda gumu lenye tabia ya kupasuka pasuka. Ni tatizo ambalo kina dada wengi hawapendi kuwa nalo hasa kutokana sababu za kiurembo.

Kupasuka kwa nyayo na ganda la nyayo kuwa kubwa kupita kiasi, kuna sababishwa na dosari ya kimwili kurundika tishu ya nyayo kupita kiwango cha kawaida.
 
.penguine ni miongoni mwa aina chache 20 za species,na karibu wote wanaishi Sourethern hemisphere,pembezoni mwa Antarctica,Pia wanapatikana South America,south Africa,New Zealand na maeneo mengi ya visiwa vya Pacifici
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…