Hatari sana jamaa
YesStadium ipo hii mkuu
RipCheikh Tiote
Niaje mkuuMzee wa liver
YNWALiver
HahahahahaSoko ni kubwa sana
Nilisikia tunapenda sana mitumba
sasa mimi ikanibidi nifikirie mitumba
ambayo bado haijaanza nchini.
Nimeamua kuja kuchukua miswaki hii naimani nitapata faida.
Au nimekurupuka katika hili
Au ndio fitina zako.
Nitakupa miswaki 10 kwa ni mzee wenzangu