Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

LINI ALIANZA KUGIZA?

Alianza kuigiza tangu akiwa mdogo na kutokea katika scene chache tangu akiwa na umri wa miaka 5 .Ila alipofikisha umri wa miaka8 alionekana kwenye little Fortune katika filamu ya Big an Little Wong Tin Bar (1962)akiigiza na mwanadada Li li Hua
 
17b9d96c4ff8137ae1bfec4e32c9d8f5.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kama mama yake,Na hata hivyo alitokea tena na mwanadada katika filamu The Love Eterne (1963)Pamoja na part mbalimbali za filamu ,katika KING HU’S mwaka 1966 ya Come drink with me. Baada ya kutokea katika filamu kadha za Kung fu ikiwemo ya A touch of Zen,
 
ndipo aliposaini na Chu Mu;s Great Earth Film Company ,akiwa na umri wa miaka 17.Na kuanza kufanya kazi kama Stuntman (michezo ya Hatari) kwenye filamu aliyocheza na Bruce lee ya Fist of Furry na Enter the Dragon akitumia jina la kisani kama Chan Yuen Lung.
 
Hapo Ndipo alipopata nafasi kwa mara kwanza kuigiza kama muigizaji nyota ( movie star)katika filamu ya Little Tiger of Canton ambapo ilizuiwa kutolewa 1973 na hatimaye ikaruhusiwa mwaka 1978 .ilikuwa ni filamu kali,ambapo jack alicheza kama kijana alikuja kulipiza kisasi juu ya kifo cha baba yake akitokea kwenye kundi la siri la uharifu huko inchini china.
 
Kutokana upungufu wa fedha za kuwekeza katika filamu na michezo ya stunt 1975 kuyumba. Jack aliamua kuingia kwenye filamu za Comedic pamoja na Adult film,Ikiwemo All in the Family,na hii ndio ilikuwa filamu yake ya kwanza kuigiza utupu na pia filamu yake ya kwanza kuigiza bila ya scene ya mapigano wala michezo ya stunt. Na hata hivyo Jack akatokea tena katika sex scene ya Shinjuku Incident
 
Mbali na uigizaji jack ni mwanamuziki, Na keshatoa records mbalimbali,Akiwa mdogo alikuwa akihudhuria Mafunzo ya kuimba, The Peking Opera school.Alianza kuimba toka mwaka 1980, na kumfanya kuwa ni mwanmuziki mwenye mafanikio makubwa huko Hong na Asia.
Amekwisha toa Album takrbani 20 toka mwaka 1984.Amekuwa akiimba katika lugha tofauti KIJAPANI,Mandarini, Cantonees ,Kitaiwaini na Kingeleza.
Karibu filamu zake zote Sauti za nyimbo zinazosikika mwisho wakati picha inaisha ni nyimbo alizoimba Jack chain.
Wimbo wake wa kwanza ulikuwa ni ‘’kung Fu fighting man”wimbo huu utausikia katika filamu ya The Young Master (1980) mwishoni wakati maandishi yapanda kuonyesha washiriki wa filamu.Karibu ya record zake 10 zimekuwa zikitumika kama soundtrack album za filamu zake.
 
Back
Top Bottom