Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

YIP MAN (IP MAN) ndiye mwalimu wa Bruce Lee ,Master huyu kazaliwa 1 octoba 1893 ,Master YIP MAN alikuwa akifundisha WING CHUN.Wing Chun ni style za mapigano ya Martial arts iliyobuniwa huko China kusini (southern China)miaka 300 iliyopita.Master IP Alifundisha wanafunzi wengi ambao wengi wao walikuja kuwa ma Master. Miongoni mwao ni Bruce Lee na wengine,Ila hatimaye master wake Alifariki dunia 2 desemba 1972.Hata hivyo Bruce naye alibeba mikoba ya master na akaendelea kufundisha,hawa ni baadhi ya wanafunzi ambayo aliwahi kuwafundisha.
 
Screenshot_2017-09-25-18-42-39.png
 
Bruce Lee alindondoka kipindi wakishuti Enter The Dragon, in Golden Havest in Hong.alikua akisumbuliwa na kizungungu na maumivu ya kichwa,mara tu alipodondoka alikimbizwa katika hospital ya baptist Katika Jiji la Hong Kong kwenye kitongoji cha Kowloon Tong.
 
Ingawaje alifariki ila aliacha watoto wawili nao walikuwa Moto wa kuotea mbali Shanon Lee na Brandon Lee. walifuata nyayo Zile zile za Bruce Lee,Ila bahati mbaya 13 machi 1993 Brando lee naye aliaga dunia.Shanon Lee na mama yake ndio waliobaki na kuendeleza chuo alichofungua Bruce Lee huko nchini marekani
 
Back
Top Bottom