mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AMUN RAMungu atubariki woote
AMUN RASaidia wanaohitaji msaada
AMUN RAMungu atubariki woote
AMUN RASaidia wanaohitaji msaada
Tupo mkuuHey!! Mko pouwa? Niliwamiss Sana wakuu.
AMUN RA21:27
Kabisa mkuuWeekend inaendelea ukingoni
So pain lakini ndio ukweliInanipa shida sana mie watu wangu wa karibu ambao hawako tena duniani kuwaita marehemu pamoja na kuwa huo ndiyo ukweli halisi. Kwenye akili na moyo wangu hawa bado wataendelea kuishi.
AMUN RA21:38
Nzuri sanaLikes za usiku
Huyu aendi kokote