Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na hapo ndio alipopata nafasi ya kuingia katika Seven little Fortune (saba wenye bahati) jina lake la kisanii alifamika kama Yuen Lo kwa wakati huo, ambalo hilo lilikuwa ni jina la master wake.aliungana na marafiki wawili vipenzi amabyo baadaye walikuja kujulikana kama (Three brothers ama three Dragons, Sammo Hung na Yuen Biao.)
 
Aliendelea kujifunza style zingine za mapigano zaidi za Martial arts kama vile Karate,judo,taekondo na Jeet Kune Do.
Baada ya kuingia katika industry filamu Jack na sammo Hung waliapata nafasi ya kuchukua mafunzo ya Hapkido chini ya master Jin Pal Kim.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…