Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni mfalme mkuu. Hana shida yo yote kuhusiana na matunzo ya mke wala watoto...Tena bikra kila mwaka ikiwezekana. Kuna mijitu ina bahati hapa duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaaa...Kila mwaka ananunua gari mpya, plastiki anaondoa mwenyewe! Tatizo ni kwamba, he will never be satisfied!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…