Pole yake, siku ukimuona mwambie mie nimesharudi.Naona majukumu tu yamemkaba
Subiri hivyohivyo utaona tu na utaelewaUtabadilishaje kwa mfano?
Nikibahatika kumuona atapata salamu zakoPole yake, siku ukimuona mwambie mie nimesharudi.
Pole sana,maana naona una like kimya kimya tu leoSafii carba ubusy mwingi nina viporo vya kazini nafanya kupunguza punguza hapa.... Nipoo
Na Nani Tena kipenzi[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Coleeeee natishiwa maisha hukuuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]