Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hili jambo la muhimu sana hasa kwetu wanaume. Hatujijali na hata tukiumwa hospitali hatutaki kwenda. Mpaka tukienda hispitalini mara nyingi inakuwa too late tunakata roho. Matokeo yake wajane kila kona.

Tujenge tabia ya kufanya physical exam angalau mara moja kwa mwaka. Hakikisha unajua hali yako ya sukari, lehemu (cholesterol), moyo, figo na kama ni mhenga tezi dume; na hali ya jumla ya mwili. Asante daktari wetu kwa kutukumbusha !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…