Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Tena unapiga simu tu wanakuletea mpaka mlangoni. Aina unayotaka. Hawa jamaa wanakula si mchezo. Pengine ndo maana unene wa futufutu (extreme obesity) umegeuka janga la kitaifa. Madukani huko watu wapo kwenye wheelchairs wamenenepeana balaa hata kutembea hawawezi. Ni kuhema tu na kulalamika. Land of the free, home of the brave indeed! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kwenye makwapa ya kuku hapo[emoji39][emoji39]nisingekuwa nakosekana
Mpira si umeshaisha ama?
المطر علي ليكس[emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299] [emoji299]Likes kwa likes
ليكس بل ليكس