Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli kabisa mkuu umelonga ukweli mtupu
 
Mtama au Uwele uliokobolewa unaitwaje??
 
Hii ni kwa sababu nafaka zina kemikali inayoitwa "phytate" ambayo inauzuwia mwili kunyonya madini hizo na kutumika mwilini. Ukikoboa nafaka kama vile mahindi unapunguza kiasikibwa cha kemikali hiyo ya "phytate".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…