Mkulu anapenda kuangalia hiki kipindiShilawadu clouds tv
Umesahau WangaHivyo ifahamike kuwa kukoboa kunapoteza kiasi fulani cha unga. Pili, unga usiokobolewa una kiasi kikubwa cha mafuta, protini, madini, vitamini, na nyuzinyuzi (fibre). Kwahiyo, unaimarisha zaidi lishe ya mlaji.
Wanaume wa Dar OyeeeeeeeeeKama watu watajenga tabia ya kula mahindi ya kuchoma, kuchemsha au kupika kande pia wanapata faida kubwa ikiwemo kupata choo kikubwa mara kwa mara.
Pamoja mkuu kwa uelewa wako tuendelee kugonga likes kwenye Uzi wetu pendwaAisee Big Brother, your kindness is overwhelming...!!
Kwel kabisaa i should be charged for this but you have given it for free..!
Mkuu kama nilivyomwepesi kuudhika ndivyo pia nilivyomwepesi kuguswa na ishara za kujaliwa na mtu fulani...! Mkuu unaweza ukahisi what you have given me ni kidogo but just taking your precious time kuandika maneno yote haya yaliyojaa ishara za upendo yanamaana kubwa sana kwangu....! Mkuu umenigusa sana sana sana sana katika moyo wangu...! sitosahau busara hizi ndicho ninaweza ahidi na kuwa wakala wa usambazaji wa busara hizi endapo itahitajika..! Barikiwa sana sana sana sana..!!
I have taken notes...!
Usimpe mtu ye yote nguvu ya kukunyang'anya furaha na amani yako ya kuishi maisha yako unavyotaka as long as huvunji sheria. Mungu Anakupenda na Amekupa kila kitu. Kwa nini unakiruhusu kibinadamu kingine tena usichokifahamu kiingilie amani yako ya moyo?
Mia mia miaKweli Mkuu Big brother yuko vizuri...! I like him....!
Siku wa nakiangalia mpaka siku niliposikia wamevamiwa wakiandaa kipindi..ndio nikakijuaMkulu anapenda kuangalia hiki kipindi
Pole sana mkuu.Aisee Big Brother, your kindness is overwhelming...!!
Kwel kabisaa i should be charged for this but you have given it for free..!
Mkuu kama nilivyomwepesi kuudhika ndivyo pia nilivyomwepesi kuguswa na ishara za kujaliwa na mtu fulani...! Mkuu unaweza ukahisi what you have given me ni kidogo but just taking your precious time kuandika maneno yote haya yaliyojaa ishara za upendo yanamaana kubwa sana kwangu....! Mkuu umenigusa sana sana sana sana katika moyo wangu...! sitosahau busara hizi ndicho ninaweza ahidi na kuwa wakala wa usambazaji wa busara hizi endapo itahitajika..! Barikiwa sana sana sana sana..!!
I have taken notes...!
Usimpe mtu ye yote nguvu ya kukunyang'anya furaha na amani yako ya kuishi maisha yako unavyotaka as long as huvunji sheria. Mungu Anakupenda na Amekupa kila kitu. Kwa nini unakiruhusu kibinadamu kingine tena usichokifahamu kiingilie amani yako ya moyo?
Hiyo rangi ya kuvutia unaweza kuuziwa mbuzi kwenye GuniaFaida ya unga ulikobolewa
Unga uliokobolewa nao unafaida zake kadhaa. Unga uliokobolewa unapendwa na watu wengi kutokana na kuwa na radha nzuri na rangi ya kuvutia.
Uzalendo
Uhuru na umoja
Umoja
Vidumu mileleUzalendo
LikesLikes