Kila dawa iko na side eefects,indications na contraindications,na inatakiwa kila dawa unayoandikiwa wakwambie ni vitu gani hutakiwi kula ama kufanya ili usijepata hizo reactionsTiba mbadala nayo ina changamoto zake. Ndiyo maana ukienda kwa daktari inabidi umweleze kila kitu ikiwemo vitamins, supplements na vitu vingine unavyotumia. Nasikia hata madawa mengi ya kutibu matatizo ya moyo yana reaction mbaya na baadhi ya vyakula/supplements.
Nashukuru Mungu japo siku hazifananiNadhani leo sijakusalimia shemeji. Kwema lakini? J'4 yako inayoyomaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Likes za mchanaLikes za usiku
Kwa watu woteAmani
DaimaUpendo
Usiku wa likesUsiku wa kupeana upendo
Ni nguvuUmoja