karibu tulisongeshe
Habari yako kiongozikaribu tulisongeshe
sahihiUzi umekusanya kila kitu miongoni mwa vitu vya jamiiforums
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]kupambana na hali zetu
salama kabisa..kwako jeHabari yako kiongozi
Ukiona dalili hizi kwa mbwa wako au kwa mbwa yoyote barabarani toa taarifa kwa afisa mifugo wa wilaya (veterinary officer) au kituo cha polisi kilicho jirani. Mbwa wenye dalili hizi wanatakiwa kuuawa kwa kuwa hakuna dawa ya kutibu ugonjwa wa rabies.
Haya wenye mbwa mkawachanje....
Me mwenyewe siwezi kwanza siwapendi,paka nina allergy na manyoya yao...Mmmh ufugaji wa paka mbwa siuwezi kwa kweli,huwa nikienda ugenini nikakuta paka wa kufungwa pozi linaniisha muda wowote nitaaga na kuondoka kurudi hapo ngumu sana
Jana ulinikimbizia ndege wangu, alikuwa tayari kuja chukua zawadi zake home, ukaanza kujifanya unamtafuta mzee wa tukuyu akaogopaMacho yenyewe hayaoni jamani,nyie endeleeni tu
Kwani mzee wa tukuyu nilimuita?Jana ulinikimbizia ndege wangu, alikuwa tayari kuja chukua zawadi zake home, ukaanza kujifanya unamtafuta mzee wa tukuyu akaogopa
Me mwenyewe siwezi kwanza siwapendi,paka nina allergy na manyoya yao...
Wanaofuga wanamoyo