Kaka majukumu tu ndio yamekuwa mengiMkuu umepotea
Mimi mzima kabisa Shemeji. Wadada wa siku hizi balaa kwanza hawachagui mzee wala kijanaAfadhali uwaambie tu kwa sababu hakuna namna. Kwema shemeji?
Naona mnasongesha uzi tuTunakuombeeni heri...
Kwa wazee tunafuata hela ya pension,vijana show[emoji23][emoji23]Mimi mzima kabisa Shemeji. Wadada wa siku hizi balaa kwanza hawachagui mzee wala kijana