Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa nini stroke ikaitwa kiharusi? Aliyetafsiri hii anahitaji atoe ufafanuzi kwa kweli !
 
Na hospitali zetu hizi vitu kama heart attack na stroke ni kuomba Mungu tu mtu visikupate kwa kweli. Hata kama wakigundua ni kweli unapata heart attack au stroke mishipa ya damu imeziba ubongoni watafanya nini? Huduma za afya ni uwanja mmojawapo muhimu ambapo hawa jamaa wa Ulaya na Marekanj wametuzidi sana. Unapata heart attack/stroke huko kwao helikopta/ambulance inaletwa na moja kwa moja kwenye operation....
 
Na wanawake mmezidi. Kakosa kadogo tu mtu anazira hata kama gemu ilishaanza. Yaani mtu inabidi uwe mwangalifu usije ukakorofisha ukajikosesha. Geez [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…