Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na wanawake mmezidi. Kakosa kadogo tu mtu anazira hata kama gemu ilishaanza. Yaani mtu inabidi uwe mwangalifu usije ukakorofisha ukajikosesha. Geez [emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine ndio sehemu ya kusomeana mashtaka hiyo[emoji23][emoji23] ila wanawake tunamidomo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Numbisaaaaaaa unataka tuache mvinyo??
Cc:mzee wa liver
 
Wakayi mwingine miguu yaweza kujaa
Ukiangalia vitanga vya mikono vinakuwa ni vyeupe kupita maelezo au hata paji la uso linakuwa linang'aa sana
 
SHIMBA YA BUYENZE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…