Na wanawake mmezidi. Kakosa kadogo tu mtu anazira hata kama gemu ilishaanza. Yaani mtu inabidi uwe mwangalifu usije ukakorofisha ukajikosesha. Geez [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa kuangalia fursa
[emoji1][emoji1][emoji1]basi sawa[emoji23][emoji23][emoji23]...Hapana bana, hii ni free tena bila masharti! Fursa iwepo/isiwepo wala haijalishi!