Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante shemeji. Yaani huyo dogo ni ishu ya kusikitisha sana. Na vijijini huko imani za kishirikina tena ikawa mambo meengi. Nilipigana kufa na kupona kuhakikisha kuwa kila mtu anajua kuwa kilichomuua ni rabies na hajachukuliwa msukule lakini kijiji karibu chote hawakuniamini. Sad !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…