carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mimi nafurahi zaidi kukuona ni venye hujui tu.Hahahaaa..carba,nimefurahi kuwaona tena.Mungu akazidi kuwamwagia baraka zake
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani hapo ndo unazidi kwenda opBan huwezi kunipa hata iweje.
Mwenyewe na kamin kako na mzigo wako wa kilo 50
Safi kabisa brother, habari ya majukumu na familia?Mkuu habari ya kwako
Ingekuwa ni urafiki wa whatsapp ningekupigia picha uone anavyo sinziaNa leo umejitahidi kweli. Otherwise macho yangekuwa yameshauma zamaniii...
Lalaga chiza nkoyi !!!
Ni bora muombane msamaha hapahapa kabla sijawanunia nyote[emoji19][emoji19]Asante ndugu yangu. Historia fupi uliyonipa na unayoyatenda vilinionyesha ubinadamu wako uliotukuka. Japo kimsingi ni wajibu wako lakini utalipwa zaidi na zaidi. Siku ile kama nilikukwaza nisamahe....
Unajua kujifaragua wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Ingekuwa ni urafiki wa whatsapp ningekupigia picha uone anavyo sinzia
Kweli namshukuru Mungu tuwazima kabisa. Vipi weww familia haijambo hukoSafi kabisa brother, habari ya majukumu na familia?
Ipo siku itakuja kuelewaUnajua kujifaragua wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi mchina mweusi aje akukoseshe amani kidogo