Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rose kwa watoto wa primary ujue,sasa wewe zilipendwa utatoaje zawad kwa zilipendwa kitu cha rose. Ndo maana unaitea andaeitini hahahah

Jamani hapa Nansio hata wa babu wanawapa wa bibi rose na wanafurahi balaa! We nae, basi ngoja niuze dagaa wangu nikainunue hiyo sijui nini vile? [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…