Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mepesi kabisa

Mnakaribishwa cha msingi mumsahau wenga wenu mumkaribishe maurinyo na jezi zake. Maana pazia la mlangon hadi dirishanu ni man u tupu,vigae chata ya man u bila kusahau kochi man u full kumechisha
Haya masharti magumu aisee. Sisi wafuasi wa Mzee Wenga Mwaloni hatukaribishwi?
 
Hahaaa hao wabibi wanakosa uhondo

Safi kabisa uza hao dagaa fasta nakusubiria ila shart ununue na jezi ya man u valisha mzee wa liver uje nae,aje anaimba glory glory Manchester united hewalaa belaire itakubalika

Hilo shart la Mzee wa Liver kuja akiimba huo wimbo ni gumu kwa kweli! Ni sawa na mimi uniambie sasa hivi kukutafutia mzizi wa jiwe nikiupata nikuletee! Poa lakini, siku hesabu zangu za hawa dagaa zikikaa sawa, ntakuzukia tu hapo! [emoji1]
 
Vigezo na masharti kuzingatiwa,welcome ukiyatimiza

Eenheee naongeza jingine ni cole kurudi laivu kucheki epielo bila ruhusa ya carba ukifanikiwa hata usipouza dagaa ukuje tu hahahaha
Hilo shart la Mzee wa Liver kuja akiimba huo wimbo ni gumu kwa kweli! Ni sawa na mimi uniambie sasa hivi kukutafutia mzizi wa jiwe nikiupata nikuletee! Poa lakini, siku hesabu zangu za hawa dagaa zikikaa sawa, ntakuzukia tu hapo! [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…