Umeona, huyu kijana hawezi kuishi na mlimbwende wakati hata ng'ombe hataki kulipa[emoji3] [emoji3] [emoji3] ikibidi mshughulikie ili amurudishe dadako.Shemeji. Unakumbuka kuwa hujatoa mahari? Unafikiri tuliofanya hiyo kazi ya kumfunda mtoto mpaka akafundika tulifanya kazi ya bure?
Nimebaini Andjul anatumia nguvu za Giza, nitakula sahani moja na mpareDuh! Inaonekana unapenda sana mabinti wa Kisukuma. Dadangu Nsamaka naye kidogo umdake. Baby S naye umekomaa. Lakini sikulaumu mkuu. They are just the best. Kazana mpaka udake mmojawapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ameshaahidi kulipa. Nilikuwa namkumbusha tu tena kwa upendo kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona, huyu kijana hawezi kuishi na mlimbwende wakati hata ng'ombe hataki kulipa[emoji3] [emoji3] [emoji3] ikibidi mshughulikie ili amurudishe dadako.
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]Te te te mwenye dada hakosi shemeji
Najivunia kuwa mtanzania.........!Huwa najiuliza kwa nini Mungu ilimpendeza nikazaliwa kwenye Ardhi ya Tanzani..!
Nikisema nalala ni kweli nalala.......
Nikisema nikatembelee ndugu zangu ni kwa ujasiri wote......
Nikisema nikasali, nasali bila chembe ya woga....
Nikisema nikafanye kazi, mpaka shati naeza vua..!
Nikissema nikasema nikatanue, hofu sina hata chembe.....!
Nakadhalikaaaaaaaaaaaaaaaaaa............ wakuu mtamalizia...........!
Ni kwa sababu ya amani tuliyokilimiwa na Mwenyezi Mungu, So guys tuwe wenye kushukuru kwa bahati hii ya upendeleo....! Na chembe zote za kutaka kuondosha hii tunu tuzipinge bila kusahau kumsihi Mungu atuepushe........!
Kama uko mrembo u mrembo tu. Hakuna haja ya kukaa uchi wala kubinua mkia !!!
Mkuu naona umeuvaa uhalisia wako kwenye avatar
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahha kwwli fumbo mfumbie mjinga
Na kweli unayafukua duh!Nitarud Niko page ya 183 Nyiee zikeni Mm nafukua makaburi 😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Heri mimi sijasema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Cc. Carba [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
WORD...!Mwanadamu ni kiumbe mtata mno. Imagine sasa kajirundikia masilaha ambayo kimsingi yanaweza kumwangamiza na kumtowesha kabisa katika kasayari haka kazuri alikopewa na Muumba. Ajabu ni kwamba hana pengine pa kukimbilia. Let that sink in for a second my friend......
Mkuu niaje[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mimi pia. Nimeshafika nchi zaidi ya 25 duniani kote lakini bado sijaona nchi nzuri kama Tanzania. Mungu Aendelee kuibariki nchi yetu !!!Najivunia kuwa mtanzania.........!
Dunia ya wakaa uchi[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahaha kwa nini mkuuMkuu naona umeuvaa uhalisia wako kwenye avatar