mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Njema kiongozi habari yakoHabari mkuu
AmenMimi pia. Nimeshafika nchi zaidi ya 25 duniani kote lakini bado sijaona nchi nzuri kama Tanzania. Mungu Aendelee kuibariki nchi yetu !!!
Nzuri kiongoziHabari za jioni hii wanalikes
Hahaha hahaha habari ya jioni hii ya my princessMmmmh!!!
Basi nyie ndo mnaongoza kupanga watu msururu kama wanaenda kupiga kura[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I'm ready lakini nipate uhakika wa hali ya ukoNani yuko tayari for a one way trip to Mars?
Ipi hiyo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Umefanikiwa kunichorea taswira kichwani mwangu laivu kabisa....
Pambana na hali yakoAnachokifanya magu kwa wafanyabiashala sio kizuri
Hili suala la kodi kama utitiri hili
Hebu fikiria nipo shytown saizcement 15000 kwa 16000
Je tutafika