mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana offer ya bia tenaPolisi amesimamisha taxi akauliza, dereva mbn number za mbele haifanani na za nyuma? Dereva akamjib... Wewe kwani uso wako unafanana na matako yako? 2mecheeeka sana!! Katupakia kwenye defender nadhani anaenda kutupa ofa ya bia
Mkuu mkuu
HahahahahaNiko zangu Mbuga za wanyama hapa nimeshuka kwenye gari naona simba wengi wananikimbilia nahisi wanataka kuniwaooooh
Bangi siipendi
Aisee kweli katuni Na vibonzo ilikuwa majira nadhani sikumbuki kabisaNime miss rafiki yangu bingwa wa rivasi.
Tangu malaria nilikuwa na dispensari hapa ndio nipo na kucheki, nimekwenda dawa kuchukua Ijumaa kugundulika Gongolamboto, ili nimeze daktari baada.
Yule bingwa wa rivasi ilikuwa kwenye gazeti gani vilee