Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Likes [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️humu jf ni jambo lipi ambalo lina trend
We si umenipa namba ya bajaji?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji22] [emoji22]
Sasa kwanini upigi simu unadhani siumii
[emoji109]Afrika na Ulaya imetengwa na bahari kwa karibu zadi kwa kilometa 14.3 kati ya Hispania na Morocco. Inasemekana kuwa nchi hizi ziko kwenye mazungumzo ya kujenga daraja ili kuziunganisha na kurahisisha usafiri.
Nakuona unajitahidi kuwakarimu wageni kwa mikono miwili hahha.nsamaka tabia gani tena hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu acha kumkatia umeme bhana[emoji23][emoji23]unajua kawa singo mda mrefu sanaHumjui kichwa eeeh? Tuulize sisi wazoefu. Atakachokutenda usije tu ukaanza kulia humu labda awe ameacha hako katabia kake.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji123]Kwa hakika kuna mambo mengi mazuri kuhusu Afrika, lakini hatuwezi kuyaweka yote. Tunaamini kuna mengi mazuri na ya muhimu ambayo ingekuwa vyema tukayaweka.
Nalimhola sana.Wanaachaga? Kwema bageshi? Ginehe, ulimhola gete gete ihaha?
Nipo bibie,habari ya wewe?mbona umeadimika hivyo?Le super frnd, mke mwenza na adui yangu namba moja humu.
Napita kukusalimia.
Anhaaa hv kumbe na huko hayupo? Basi atakuwa kadakwa na mwingine. Aisee huyu mzee wa misambwanda ni balaa.Nipo bibie,habari ya wewe?mbona umeadimika hivyo?
Kumbe umeniita mke mwenza[emoji23][emoji23][emoji23],mwambie mume wetu arudi basi
mutu ya mapesa mingi[emoji23]Hahaha papaa KK aka papaa mukulu hahaha
Hapana nitarudi tu sema huu wewe umenipa bundle zako za usingizi. Kisa upige desa vizuriNasikia unamkimbia thad et[emoji23][emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaha papaa KK aka papaa mukulu hahaha
Anaapishwa kwenye baraza jipya la mawaziri leo,atakuwa busy sana kipindi hiki [emoji38][emoji38][emoji38]Nitafutieni andjul jamani, mwambieni nimesharudi nyumbani
Naona anazidi kuchana mawimbi tu wageni.mutu ya mapesa mingi[emoji23]
nsamaka unaniperusha ndege[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Humjui kichwa eeeh? Tuulize sisi wazoefu. Atakachokutenda usije tu ukaanza kulia humu labda awe ameacha hako katabia kake.
Iishee!!!? Thubutu[emoji3] [emoji3]Hivi hii vita ya likes itaisha lini?
Anaapishwa leo hujui kawa waziri?Anhaaa hv kumbe na huko hayupo? Basi atakuwa kadakwa na mwingine. Aisee huyu mzee wa misambwanda ni balaa.
Basi twende leo[emoji6][emoji6]Hapana nitarudi tu sema huu wewe umenipa bundle zako za usingizi. Kisa upige desa vizuri