mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Endelea kupata malikesNimeyaona mengi saana ndio maana nikaupenda
Hivi we Mzee unakumbuka way back ulivyo kuwa unanastukia nikiwa nanyapia, hivi ni mimi hapa kweli.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] imejitype...carba anaumizwa na usemi wake mwenyewe
NZURIHabari za usiku huu
Guilty as charged. Yeuwii Wallahi...[emoji23][emoji23][emoji23]Aerophobia – Hofu ya kuogopa kusafiri au kuruka kwa ndege.
Hahahahaha
Phobia ndani ya phobia - mumo kwa mumo !!!Phobophobia – Hii ni hofu ya kuogopa hofu.
Mkuu hatari hiiKatibu Mwenezi upo?
Hapi tu sii yu ageini buraza...kwema kabisa.Niaje huko Mbagala?Nimekuona. Kwema mkuu? [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Siasa uchwara !!!
Cremation mi inanihusu !!!Taphophobia – Hofu ya kuogopa kuzikwa ukiwa hai kwa makosa na kuamka ndani ya jeneza ardhini.
Carba niite baby