carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Uniletee hayo maparachichi nile mie[emoji6][emoji6]Maombi yako hayajawahi kushindwa kamwe.Kila unaloniombea Mungu amekuwa akilijibu kwa wakati.
Ametenda ambalo sikulitarajia[emoji120] [emoji120]
Narudi shamba kubeba maparachichi[emoji23] [emoji23] [emoji23]ha wa yuu shemejiiii...
Safi sana Na nzuri
Sasa koromije warudi vipi shemeji[emoji23][emoji23]Guilty as charged. Yeuwii Wallahi...[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc. ISIS
Hahahahhahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Carba niite baby
Maombi yako hayajawahi kushindwa kamwe.Kila unaloniombea Mungu amekuwa akilijibu kwa wakati.
Ametenda ambalo sikulitarajia[emoji120] [emoji120]
Narudi shamba kubeba maparachichi[emoji23] [emoji23] [emoji23]ha wa yuu shemejiiii...
Amen[emoji120] [emoji120] .Najua KK anakusumbua sana,vipi SYB hajakutenga? Mdogo wangu bado hajaachana na ipielo? Na nsamaka hajakushambulia? Kuna faraja yoyote ulipata kutoka kwa mzee wa liver? Naamini Yegomasika atakuwa amehangaika saaana na vimaua vyake vya kuibahili...Aifilu so sore fo yu...Pole Mungu afanye wepesi
Ukanibebee na maparachichi huko uniletee..Asante sana shemeji. Mungu wetu ni mwema sana; na Yeye huwa haangalii unje wetu wala utakatifu wetu wa bandia. Anatujua na hutenda kama impendezavyo. Habari njema sana. Nitakuja langoni mwako !!!