Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sababu zao nyingi hazina mashiko,hawajui kama operations nazo zina risk zake na ukomo wake pia
Hapo sasa na pia kuna maumivu makali borakujifungua kwa njia ya kawaida kuliko opareshen ambayo ina mateso hasa mtu asipofatilia maelekezo ya dokta. Nasikia hamisa alijifungua kwa opareshen ila sasa kutulia hawezi sijui mshono ulipona au la
 
Maswala mengi yanayowaogopesha watu ni kutokana na imani potofu tu na wala hakuna ukweli wowote. Chunguza kama kweli swala linalokupa hofu ni la kweli au ni fikra na imani potofu tu.
Hebu nisaidie jinsi ya kuondoa hofu ya kupanda ndege pamoja na mende. Nikifanikiwa Western Union inakuhusu mijibapa na mifursana mpaka ikukome [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama hofu hutuzuia kufanya kazi vizuri na kwa ufanisi ule unaotakiwa, kwanini itutawale? Kwa mfano ikiwa una hofu ya mitihani; umeshawahi kufikiri jinsi hofu hiyo itakavyokuathiri katika mitihani yako kuliko hata kilichokuwa kinakutisha kwenye mitihani yenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…