Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ona sasa. Huogopi mende halafu unaogopa watoto wa paka wasio na madhara yo yote. You just cuddle with them.

Mende mtu unakuwa umelala zako halafu wanakutambalia ukizubaa wanaingia mpaka mdomoni. Halafu sijui yana sumu yale. Ukiyatafuna unaweza kukata roho !!!
 
Ningekua mlokole ningekwambia ni mapepo,unajua kuna saa hali hio inatokea ni mateso tupu jaribu kunuia sala ya dini yako ikitokea hali hio utanasuka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…