Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mmh acha hizo kuwaangalia tu mateso sembuse kuwasogelea karibu haiwezekan,weken net mende mtawasikia kwa majiran wakat wa kulala maana usafi wa shuka kitanda net adui wa mende,kunguni,chawa na wadudu wengine
 
Uwezo mkubwa wa kufikiri unahusiana na kiasi cha ndoto mtu anazoota

Inaaminika kuwa watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri (Intelligent Quotient – IQ) huota ndoto nyingi zaidi kuliko watu wenye IQ ndogo. Hili kwako likoje? Naamini utatupa maoni yako hapo chini.
 
Wanaume hupata kwikwi kuliko wanawake

Kwikwi ni mkazo wa ghafla na usio wa hiari wa misuli ya kiwambo unaosababisha pumzi kutokea kinywani na sauti ya kugugumia kutokana na hewa kuingia kwenye umio. Hivyo tafiti zimebaini kuwa wanaume hupata kwikwi mara mbili zaidi ya wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…