mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu pamoja kabisaSalaam mzee wa liver
Mkuu niaje habari za uzima wakoMuuuuurdeeeeeerrrrr
Filamu moja bomba sana kwa jet Lee alijipanga vilivyo big rip aaliyahJET kaingia Club kimachale machale.
Amekwenda kama Nigga hapo 😀.
Kwenye Filamu hii ananiua hapo wanapotaka kuingia Club, halafu Bouncer anakuwa hana imani hata kidogo na JET.
Lakini kutokana na nguvu ya TRISH (Jina alilotumia kwenye Filamu hii) ambae ndio AALIYAH, inabidi Bouncer awe matawi ya chini, na kuwaruhusu TRISH na HAN (ambae ndio JET, Jina alilotumia kwenye Filamu hii) kuingia Club.
Panoponiua zaidi, ni pale wameshuka kwenye Gari kisha JET anabugia Chewing Gum, na kisha kugeuza Kapelo mbele nyuma ili na yeye aende kama Nigga😀.
Maandalizi kabla ya kuingia Club.
Mimi hapana kuchoka kabisa Filamu hii (ROMEO MUST DIE).
Mimi penda sana Filamu hii Filamu (ROMEO MUST DIE)
Mkuu habari za leo
Let's just snap our fingers na viwanda vitakuwa. Industrial revolution ya UK ndivyo ilivyotokea. They just snapped their fingers [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Bongoooooo !!!Naona hadithi tu
Nakikumbuka hiki kipande acha kabisaHUN baada ya kupiga mkono mwingi sana, alichokuja kukiona hakuamini Macho yake.
Baada ya Helmet kuvuliwa alishangaa kuona aliekuwa anapigana nae mkono mkali kumbe ni Mlimbwende.
HUN akaona haya ni Masihara, hawezi kupigana na Mlimbwende na alichoamua kufanya ni kumtumia TRISH kupambana na Mlimbwende mwenzake.
Mkono ukawa wa Walimbwende kwa Walimbwende huku HUN akimpa Tafu TRISH kiujanja ujanja.
Nzuri kamanda. Nashikilia mikoba ya m'kiti. Akirudi nitaacha !!!Mkuu habari za leo
Hawa Argentina watafuzu kweliMpira ndiyo unaanza kati ya Argentine na Ecuador na Ecuador wanapata goli kwenye dakika ya 0.46
Hatari sana kwaoArgentine wameshajiweka kwenye nafasi ya hatari kukosa WC 2018.
Hahahahaha😀😀😀😀😀.
TPKikombe cha BABU.
BABU alitisha sana
La prugaDakika ya 12 Messi anasawazisha 1-1
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
La prugaDakika ya 19 ni Messi tena 2-1 Argentina
Kweli kabisaWahenga walisema ukiwa muongo uombe Mungu uwe na kumbukumbu nzuri, vinginevyo utaadhirika.