Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huku kwema. Itabidi ulale ama itafika mahali utashindwa kufanya kazi. Kwa vile mganga hajigangi, muombe Dr. Numbisa akupe mbinu mbadala za kuweza kupata usingizi kama hutaki kumeza sleeping pills.Nimesalimika shem,yaani acha tu hapa kichwa chote hakifanyi kazi na sijaona dalili za kulala mapema[emoji30][emoji30]
Kwema huko?
Mbinu nzuri kabisa na mbadala ni kusoma vitabu vya dini unaambiwa hivi shetan ana nguvu bana akikuona tu umeshika kitabu cha kumchoma moto anauleta usingizi harakaHuku kwema. Itabidi ulale ama itafika mahali utashindwa kufanya kazi. Kwa vile mganga hajigangi, muombe Dr. Numbisa akupe mbinu mbadala za kuweza kupata usingizi kama hutaki kumeza sleeping pills.
[emoji120][emoji120]sawa shemHuku kwema. Itabidi ulale ama itafika mahali utashindwa kufanya kazi. Kwa vile mganga hajigangi, muombe Dr. Numbisa akupe mbinu mbadala za kuweza kupata usingizi kama hutaki kumeza sleeping pills.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]?????????????????????????????????