Ni kweli kiongozikwenye uzi wetu kila mtu ni muhimu
Atafariki mama utapata mtoto, lakini tunaendelea kumkumbuka mama ingawa tutapata watoto wengine wa kutuliwaza“Mlango mmoja wa furaha ukifungwa, mwingine unafunguliwa, lakini mara nyingi tunautazama sana ule uliofungwa na kushindwa kuona ule uliofunguliwa kwa ajili yetu.”
Helen Keller
Hahahaha, chezea tumbo eeeeh[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
*******************************
Wadada Wakiwa na Miaka 25 Kushuka Chini Wanataka Kuolewa na Wanaume na Wenye Prado, BMW, Vogue etc......
Akifikisha Miaka 30 Anataka Chochote Kinachonguruma Hata Kama Ni Tumbo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]*waumini waliambiwa watoe michango kwa ajili ya kuzungushia eneo la makaburi*
*muchungaji akauliza kuna mwenye swali.*
*akasimama Mlevi akasema kwani kuna marehemu aliye wahi kutoloka makaburini au ndio ufisadi tu unaotaka kuuleta*
*waumini wakasimama na kusema ila kweli kumbe pombe zina mawazo mazuri*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante, looh, Beef Lasagna kwenye ubora wako