Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120] [emoji120] ni maneno ya kutia moyo.
Ulinipa ujasiri pale nilipo poteza matumaini.Nikasimama tena,na majibu yanaonekana positively.
"Imani ya ndugu wa Lazaro kwa Yesu,ikawa ndio chanzo cha Lazaro kufufuliwa".
Naamini maombi yako yatakuwa tu...
 
Akiongea kuelekea mechi ya Ligi Kuu Uingereza Arsenal dhidi ya Watford itakayopigwa Jumamosi, alisema: "Katika hali yetu tumeshafikiria suluhisho kwa hali zote. Inawezekana."
Alipoulizwa hasa kuhusu mustakabali wa Ozil katika klabu, Mfaransa huyo alijibu: "Namuelewa [kwamba anataka kubaki].
"Nadhani hali inaweza kugeuka. Kwa sasa, hatupo karibu kutangaza chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…