Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Profesheni za watu hizo mkuu.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]You got a good nose, Bro! You can smell from a distance! [emoji23][emoji23]
Umenikumbusha 1975 ndipo nilikisoma hiki kitabu kama sijasahauRiwaya ya kwanza ya kipelelezi katika fasihi ya Kiswahili !!!
Alihamasishwa na novels za UKRiwaya ya kwanza ya kipelelezi katika fasihi ya Kiswahili !!!
Inawezekana na inawezekana isiwezekane. Mhusika wake mkuu (Bwana MSA) Sherlock Holmes cha mtoto. Kwenye Kisima cha Giningi na Siri ya Sifuri amefanya kazi nzuri sana.Alihamasishwa na novels za UK