Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ulevi wa kupindukia;
unaweza kua unapenda kunywa pombe angalau kustarehe na kuonana na ndugu na jamaa lakini unywaji wa pombe kupitiliza ni hatari sana, humaliza nguvu za kiume na kukosesha hamu. habari njema ni kwamba pombe kidogo angalau pia moja mpaka mbili kwa siku ni nzuri kwa nguvu za kiume na afya ya moyo.
ho chi minh amekusikia
 
Kukosa hamu ya tendo la ndoa;
kwa maisha ya sasa hii husababishwa na kuchoka sana na kazi na kukosa muda wa kupumzika, kuna watu wanafanya kazi kila siku ya maisha yao kwa madai wana roho za kichaga...hizo pesa unazotafuta huku unaharibu afya hazitakusaidia kwa lolote hata ukizipata mwisho wa safari na utaibiwa mke na walafi wa mtaani.
 
Magonjwa; haya ni magonjwa mbalimbali ambayo hua hayaponi au huchukua muda sana kupona kwa namna moja au nyingine huharibu nguvu za kiume moja kwa moja mfano kisukari, presha, ajali za migongo na magonjwa ya mishipa ya fahamu, madonda ya tumbo, kifua kikuu, pumu na kadhalika...

Mwisho; unaweza kua unaona aibu kuongea na daktari kuhusu tatizo lako lakini kimya chako hakitakusaidia, jaribu mwenyewe kufikiri chanzo ni nini ili uweze kubadili mfumo wako wa maisha kama kupunguza uzito, kupunguza kazi na kuishi kwa uwezo wako wa kifedha,kuacha kutumia dawa zinazoharibu nguvu zako, kupunguza ulevi na hata kupata matibabu kama ikionekana ni muhimu


Credits;mwananchi
 
Unaweza ukawa mwangalifu sana ila, bahati mbaya inatokea na simu zetu zinaingia maji.
Sasa, kwa kuwa simu zisizoingia maji bado ni ghali sana, simu yako ikiingia maji unaweza ukaiokoa kwa kufanya yafuatayo.

1. Itoe kwenye maji
2. Izime alafu ilaze kwenye kitambaa laini au tishu nzito alafu toa kava la nyuma na betri (kama unaweza kufungua simu yako)
3. Pia, ondoa SIM card, memory card, kava za simu uziache zikauke.
4. Kausha simu kwa ndani kwa kutumia kitambaa laini au tishu nzito. Hakikisha unaikausha haraka iwezekanavyo.
5. Weka simu ya ndani ya mfuko wa mchele kwa masaa 24. Mchele inanyonya maji.
6. Angalia kama eneo la kuchomeka chaji na headphone zimekauka. Kama bado, rudia hatua 4 na 5.
7. Baada ya masaa 24, jaribu kuiwasha alafu angalia kama ina fanya kazi inavyotakiwa.

Kuna uwezekano kwamba utabidi kuipeleka kwa fundi
Ukiona kwamba haifanya kazi baada ya pitia hatua hizi, bora uipeleke kwa fundi. Ipeleke kwa wakala wa aina ya simu (au mtandao) ya simu yako au kwa duka la kutengeneza vifaa vya umeme linaloaminika.

Ila, kuzuia ni bora zaidi ya tiba. Kwa hiyo, nunua kava ya simu inayozuia maji kuingia kwenye simu.
 
c2932bb3be8a838aa26ef554d0e27c28.jpg


bat waiiiiiii[emoji52]
 
Back
Top Bottom