Hahaa kama siamini amini hivi,sijui kwaniniKabisa saiv nayatunza mapovu nije kufulia nguo za kuvaa chrismass.
Naanza kuwa mstaarabu mfano wa kuigwa kabisaaa hahahaa
Kazuri na kanaigiza vizur kwel
Nataka utoe mapovu maana mapovu yako ni ya beer watu wanakunywa tuKabisa saiv nayatunza mapovu nije kufulia nguo za kuvaa chrismass.
Naanza kuwa mstaarabu mfano wa kuigwa kabisaaa hahahaa
Kazuri na kanaigiza vizur kwel
Naona unanitafuta sana shikamoo weweShkamo
Hahahaa ntakuiga maana nimezunguka JF nzima sijaona mapovu yako asalalee nikajishtukia kheee inakuaje bora niokoke namieHahaa kama siamini amini hivi,sijui kwanini
Ila yote kheri
Naomba atokee mtu mmoja akutibue nione vyenye utafanya[emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine wanayakimbia itakua ya wanzuki kama sio komoni yale daah bora carba anatoaga ya whisky walaa hayana kokoroNataka utoe mapovu maana mapovu yako ni ya beer watu wanakunywa tu
Siku ukitoa ya coca nitakuja kunywaWengine wanayakimbia itakua ya wanzuki kama sio komoni yale daah bora carba anatoaga ya whisky walaa hayana kokoro
*Tunashukuru Mungu hatimaye serikali imeongeza Mshahara wa mwezi huu kwa asilimia 38%.*Wadada sio kila neno mnaongea kwa pozi
Kwenye gari leo wakati natoka Mbagala naelekea Gomz, kuna mdada alikuwa anaongea simu sasa hiyo Gongo la mboto alivyoitamka watu wote walimgeukia, naomba ninukuu "Enhe ndio nipo kwenye gari naelekea Gongo la mb.o.o.o.to"
Hayo yalikuwepo 2000 hukoo nikiwa primary hahahaSiku ukitoa ya coca nitakuja kunywa
Marhabaaa,mzima weyeNaona unanitafuta sana shikamoo wewe
Unamaskhara wewe ujue[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaa ntakuiga maana nimezunguka JF nzima sijaona mapovu yako asalalee nikajishtukia kheee inakuaje bora niokoke namie