Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Halafu wale fisi na wenzao nyumbu hawataki kusikia nchi ikikopa!!!?
 
Acha kabisa shemeji haya mambo magumu kwakweli
Natamani kufuta kauli ya macho yale basi tu[emoji23][emoji23]
Hata sijui nazungumza nini[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Jana mambo yalibana sana ndio mana
Ufute kauli? Ai sarenda! Pikooooo !!!

Jicho moja kuligeuza liwe hivyo kwa laser ni dola 850. Acha tu....

KK umejaribu kumtafuta leo? Huwa nafurahia mkianza kuitana pimbi...
 
Afya zetu zimekuwa ni mitaji ya kutajirisha watu.
Haya madawa tunatumia basi tu,madhara yake ni makubwa mno.
Mfano:leo wapewa dawa huambiwi side effects,kesho unaanza kukohoa ukienda wanakupa dawa nyingine,ukipata side effects huambiwi wapewa dawa nyingine,mwisho wa siku unapata liugonjwa la ajabu ambalo hata halieleweki
 
Kibongo bongo hiyo haimo,tunatupa jaralalani watoto wanaokota wanapasua wenyewe hatuna habari na madhara.
 
Huhuu huu[emoji1][emoji1][emoji1]
Umenichekesha ujue
 
Shemeji u a on faya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ufute kauli? Ai sarenda! Pikooooo !!!

Jicho moja kuligeuza liwe hivyo kwa laser ni dola 850. Acha tu....

KK umejaribu kumtafuta leo? Huwa nafurahia mkianza kuitana pimbi...
Nafuta kauli zote,tena kuanzia na ile ya kupika ikifuatiwa na macho,piko na ai sarenda[emoji23][emoji23][emoji23]
Kichwa Kichafu sijamuona huyu pimbi sijui yuko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…