Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Imagine sasa wameanza kusema kuwa fluoride tunayofakamia kwenye dawa za meno na kwenye maji inarundikana ubongoni na pengine ndiyo sababu kuu ya magonjwa kama dementia na Alzheimer. Ikiwa ni kweli, ni kweli walikuwa hawajui? Mavidonge mengi ya kisukari na hata kansa wakati mwingine yana madhara kuliko hata ugonjwa wenyewe. Kesi kila leo lakini kwa vile wanapiga pesa ndefu jamaa hawajali. Hata haya mavyakula yaliyobadilishwa kisayansi haya subiri miaka 30 huko mbele ya safari utasikia matatizo yake. Hapa ndipo binadamu huwa namdharau kabisa kabisa !!!
 
Hahaha, inawezekana. Maana wajerumani wana kampuni nyingi wanaozalisha taa hizo wakiongozwa na OSRAM na THORN. wameshapiga pesa sasa wanajifanya kuleta unafiki
Ndio dunia ilivyo,kwanza tunatengeneza bidhaa tukisha piga pesa ndio tunajifanya tafiti zinasema matumizi ya hizi bidhaa si mazuri na blah blah kibao
 
Mkuu hapa bongo hakuna maonyo ya aina hiyo, labda waanze kuyaweka sasa
 
Sidhani kama haya mambo wanayoyafanya huwa hawajui madhara yake.
Kinachotokea wakishajua madhara kwao ni fursa tayari,wanatumia mwanya huo kutengeneza pesa baada ya muda wanakuja na tafiti zao ndio wanasema madhara yake wakati wameshapiga pesa ya kutosha na wamesha hatarisha maisha ya watu wengi sana,hii hali inasikitisha kwakweli.
 
Dunia ni uwanja wa vita
 
Katika kipidi cha pili cha mechi ambayo PSG walishinda 2-0 dhidi ya Lyon Septemba 17, Cavani na Neymar walikuwa wakigombea kupiga penalti, ambayo hata hivyo Cavani aliikosa.
Kwa mujibu wa Don Balon, mshambuliaji huyo wa zamani wa Napoli anaamini atakuwa tishio mbele ya goli kwa Man City na anaitegemea timu hiyo ya Guardiola kumsajili, lakini pia akiwa anazifikiria Real Madrid, Manchester United au Everton.
 
Madrid wanataka kusajili mshambuliaji mpya na wanayo machaguzi mengi, kadhalika Cavani atakuwa na wakati mgumu kumpokonya namba Romelu Lukaku Old Trafford.
Everton watahitaji nguvu nyingi kumshawishi Cavani kutua Goodison kutokana na kiwango chao duni cha sasa, wakiwa chini mkiani mwa msimamo wa ligi.
Hakuna taarifa zozote kama Manchester City wanafikiria kumsajili Cavani.
 
How wonderful to know that God watches over us all the time. As we face this new week may we remember the following. God holds me up whenever I am anxious and worried, He comforts me and defends me; my God protects me. Have a blessed week ahead
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…